Pages

Subscribe:

Wednesday, January 20, 2016

PRODUCER WA KENYA AELEZA JINSI ALIVYO MSHIRIKISHA WILLOW SMITH KWENYE WIMBO WAKE


ukweli-715x715
Producer na Mwanamuziki wa Kenya,  Brendern Denousse aka Ukweli amemshirikisha Mwanamuziki wa Marekani, Willow Smith kwenye wimbo wa “Get Lost,”.
Ukweli amesema alitengeneza beat la wimbo huo kisha akamtumia msanii mpya wa Marekani , JABS ambaye alikutana naye kwenye mtandao wa Soundcloud lakini kitu kizuri zaidi, baada ya miezi mitatu wimbo huo ulitoka ukiwa na...
sauti ya Willow Smith pia.

“I got in touch with JABS through her soundcloud, I was a big fan of hers and Willow’s from randomly listening online,” aliuambia Mtandao wa OkayAfrica “I made the beat to ‘Get Lost’ at about 3 in the morning one night when I couldn’t sleep and was in a melancholic mood. It’s a really spacey beat and I felt that it had enough room for a vocalist to lay something down.”

“So I got in touch with JABS and sent her the song. She said she loved it and wanted to lay something on it. Fast forward to two months later and the song was done. I was unaware that she did the song with Willow Smith, but I was happily surprised.”

0 comments:

Post a Comment