Pages

Subscribe:

Thursday, October 29, 2015

WEMA AJA NA KALI HII... AWAACHA WATU NJIA PANDA

wemaa
Mwanadada Wema Seeptu na mpenzi wake, mshiriki wa shindani la Big brother mwaka 2014 kutokea Namibia, Luis Munana wamewaacha mashabiki wao bila majibu, Kama wawili hao wamefunga ndoa au La. Tazama pics 6 hapa ndani...


wemaa

Wema aliweka picha hiyo na kuandika ‘Iam a Happy Soul’ na Luis aliweka picha na kuandika “Faheem is happy! Faheem is at Peace “InShaAllah” japo hakuna mmoja hata kati yao aliyeweka maelezo zaidi hata hivyo kama sio ndoa basi haiitaji maswali mwengi kujua kuwa ndoa inanukia.
wee

wema cover

1wema



1wemaa

0 comments:

Post a Comment