Pages

Subscribe:

Friday, October 2, 2015

CHRISTIAN BELLA NA WEUSI WAINGIA STUDIO

Hivi ushajiuliza Christian bella kwenye wimbo mmoja na weusi itakuaje? Basi jibu litapatikana hivi karibuni kwasababu tayari collabo ya mzee wa Masauti Christian Bella na kundi la wasanii wa Hiphop, Weusi tayari imekamilika chini ya producer Nahreel.
Kupitia mtandao wa Instagram, Christian bella ameshare picha akiwa studio ya ‘The Industry’ na wasanii wa kundi la weusi ambayo amesema itatoka...
mwishoni mwa mwezi wa 11, Ameandika “@johmakini @gnakowarawara C.B ft weusi Loading”
belaaaaaaaaaa
Pia Christian Bella ametangaza kuwa collabo yake na Alikiba ‘Nagharamia’ itatoka mwishoni mwa mwezi ujao, Bella Amesema “Kazi imeisha Leo na #weusi Ratiba ni mwishoni october tunaachia nagharimia + @officialalikiba Mwishoni november @joh_makini @gnakowarawara @nahreel”

0 comments:

Post a Comment