Pages

Subscribe:

Thursday, October 29, 2015

WIMBO WA SAUTI SOL FT ALIKIBA KUTOKA HIVI KARIBUNI


Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’
Sauti Sol ambao hadi sasa wamesha achia nyimbo sita zitakazokuwepo kwenye album ya tatu wamepost picha hiyo na kuandika “Kazi ipo King Kiba na Sauti Sol Muziki wa...
kiafrika #LiveandDieinAfrika #Kenya #Tanzania.”
Hadi sasa nyimbo zilizotoka ambazo zitakuwepo kwenye Album hiyo ni pamoja na Nerea, Sura yako, Isabella na zingine. 

0 comments:

Post a Comment