Pages

Subscribe:

Thursday, October 29, 2015

TUNDA AJICHORA TATTOO ZA WANAUME WOTE ALIOWAHI KUTEMBEA NAO

Licha ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’, video queen Bongo, Tunda Sabasita anadaiwa kujichora tatuu za wanaume kibao mwilini mwake. Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza ni kuwa, ‘muuza nyago’ huyo kwenye video za Bongo Fleva haoni shida ya kujichora tatuu hizo na kwamba ndiyo furaha yake na kumbukumbu pindi anapokuwa... nao. “Kwa sasa anatoka na Young D lakini mkono wake mmoja una tatuu imeandikwa Side, sehemu nyingine Young D na sehemu nyingine ameandika majina ya wanaume wengine kibao aliotembea nao,” kilisema chanzo. GPL

0 comments:

Post a Comment