skip to main |
skip to sidebar
HUYU NDIYE MSANII TOKA NIGERIA ATAKAYE TUMBUIZA KWENYE FAINALI ZA BBS
Msanii kutoka Nigeria, Runtown ni mmoja kati ya wasanii
watakaotumbuiza siku za fainali za shindalo la kusaka vipaji ‘Bongo Star
Search 2015′ Mkurugenzi wa Benchmark production na pia Judge wa shindano hilo,
Ritha Paulsen ametoa taarifa hiyo wakati akijibu maswali ya mashabiki wa
kipindi icho, Wasanii wengine watakaotumbuiza ni...
pamoja na Yamoto Band,
Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala Jeremiah.
0 comments:
Post a Comment