Pages

Subscribe:

Sunday, October 11, 2015

SARMY CLEVER USO KWA USO NA EDDO WA EBONY FM


Hii ndiyo kauli yake baada ya kutembelewa na mmoja kati ya watangazaji wa Ebony Fm. Sarmy amepost picha mtandaoni na kuandika: ahsante sana EBONY FM na TIGO TANZANIA,kwa kunitembelea leo asubuhi na mapema Nyumbani kwangu na...
kuongea mambo mengi sana na mzee mzima EDDO BASHIR a.k.a TIGERMNYAMA
Ahsanteni sana na sana brother chrisbee

0 comments:

Post a Comment