Pages

Subscribe:

Monday, October 5, 2015

AVRIL AKANUSHA KUIMBA GOSPEL & ATANGAZA COLLABLE NA....


Msanii wa Kenya Avril amezipinga tetesi za kuwa anaanza kuimba mziki wa Gospel hivi karibuni japo ametangaza ujio wa Collabo yake na mwanamziki wa Injili, Christina Shusho.
Avril amesema anajisikia huru kuimba aina ya mziki anaoimba kwasasa na hataki kufanya Gospel kama biashara pia katika mazungumzo alikaririwa akisema hivi...
  “For now, I am comfortable where I am. Ntaendelea kuimba ‘Nikimuona’, ‘Hakuna Yule’ until that day I will have true calling to minister. I don’t want to cross to gospel for business – I would want to do it to serve God, purely ministry!
“I am sorry to say this: you know some gospel artistes pretend under the umbrella…in real sense, they are not as saved – I would not want to go the same way,” Amesema Avril
Hata hivyo Avril aliweka wazi ujio wa Collabo yake na mwanamziki wa Injili, Christina shusho ambayo itatoka mwakani 2016 kwenye Album yake mpya.

0 comments:

Post a Comment