Pages

Subscribe:

Tuesday, October 13, 2015

NAGHARAMIA YA ALIKIBA NA CHRISTIAN BELLA KUTOKA MWISHONI MWA MWEZI HUU


Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao. ‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo kwenye Instagram. Miezi kadhaa iliyopita Bella alisema kuwa...
kazi hiyo itakuwa na utofauti mkubwa kwasababu amembadilisha sana Alikiba.

0 comments:

Post a Comment