Pages

Subscribe:

Monday, October 5, 2015

ABBAS KUSHOOT VIDEO MPYA YA MSANII CHEMICAL


Mwongozaji mahiri wa video za wasanii wa muziki nchini Abbas Adam hivi sasa amewekeza nguvu zake katika kuinua zaidi vipaji vya wasanii ambapo anatarajia kufanya kazi na staa wa muziki nchini Chemical.
Abbas ameongea kwamba mkali huyo ambaye anatamba na video ya wimbo wake 'Sielewi', amesema kuwa hivi sasa chemical antarajia kutoa wimbo wake mpya ambao muda si mrefu utaanza kufanyiwa shooting.
Aidha Abbas pia amefurahishwa na...
mapokezi mazuri ya kazi zake kutoka kwa mashabiki wake huku hakuacha kuwasihi vijana na watanzania wote kwa ujumla kuweka amani mbele katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 25 mwezi huu wa Octoba.

0 comments:

Post a Comment