Pages

Subscribe:

Sunday, October 11, 2015

HATIMAYE MTOTO WA HAMISA MABETO AONESHWA HADHARANI

mobetto
Mobetto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika;  “Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy. See pics inside...mtoto wa hamisa-3
“Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy

#cutekidsclub”.

mtoto wa hamisa-1
Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi sasa bint Majey

@misfansy @misfansy My mermaid”.

mtoto wa hamisa-2
Hivi karibuni mrembo huyo aliyewahi kushiriki miss Tanzania, alisema kuwa baadaa ya kujifungua sasa amerudi kwenye kazi yake ya mitindo na anaimudu vizuri bila kuathiri upande wowote. Alikuwa akikanusha ile kasumbumba kuwa mwanamke akizaa basi anakuwa mzee.
Source:Bongo5

0 comments:

Post a Comment