Pages

Subscribe:

Thursday, October 15, 2015

DIAMOND PLATNUMZ TENA...!!! ASHINDA TUZO YA MTV


Diamond Platnumz ndio mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ cha Tuzo za MTV Europe kilichokuwa kinashindaniwa na mastaa wengine wa Afrika ikiwemo  AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria) na DJ Arafat
Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya...
‘Best Worldwide Act: Africa/India’
Mwaka jana Sauti soul waliibuka washindi wa kipengele cha African Act japo hawakufanikiwa kushinda Tuzo ya ‘World wide’

0 comments:

Post a Comment