Pages

Subscribe:

Sunday, October 11, 2015

SHILOLE AFUNGUKIA NYWELE ZA KWAPA ZA NUHU KUTONYOLEWA

'Mnaosema mara oooh kwapa sijui anyoi sasa mm ndo nazipenda hizo nywele za kwapani na hazinyoi ilimradi ziwe safi na zinanukia! Mkome kufatilia maisha ya watu mara oooh kafuta tatooo mlikuwepo wakati anafuta?? Acheni umbea ndo maana mnaaumbukaga tatoo hajafuta na tupo pamoja true love never die'  Aliandika Shilole

0 comments:

Post a Comment