Pages

Subscribe:

Wednesday, October 14, 2015

IZZO BIZNESS: RAIS JK ALINIPIGIA SIMU BAADA YA KUACHIA ONGEA NA MSHUA


Izzo bizness amesema track yake ya ‘Ongea na mshua’ ilimpa mafanikio makubwa kwenye muziki ikiwa ni pamoja na raisi mwenyewe kumfahamu na kuipenda .
Akifanya mahojiano na Kipindi cha ‘Chill na Sky’ Izzo amesemea baada ya kuachia ‘ongea na mshua’ ridhiwan kikwete alimpigia simu kumpa hongera na kumwambia kuwa...
watafanyia kazi, Amesema
“Hapo nikaanza kuona sasa eenhee ndio kuelekea duniani huku, sababu kutoka getho mpaka napigiwa simu na watoto wa maraisi ni kitu kikubwa, akanambia kuwa hii ngoma mzee ameisikia ameikubali sana itabidi tu nifanye mchakato twende ikulu ukamcheck bana nini, nikamwambia nitashukuru kama imepokelewa vizuri na nini lakini mwanzoni nilikua naogopa hata master J nilimshirikisha akanambia isijekutuletea matatizo na nini..”

0 comments:

Post a Comment