Pages

Subscribe:

Friday, October 16, 2015

VANESSA MDEE: VIDEO YA NEVER EVER IMENIGHARIMU ZAIDI YA MIL.40

Mshindi wa Tuzo ya Afrimma ‘Best Female East Africa’ Vanessa Mdee amesema video yake mpya ‘Never Ever’ imegharimu zaidi ya Million 40. Vee Money amesema hata malengo ya anapotaka kufika bado hajayafikia na anamatumaini ya kufika mbali zaidi.
Hii ndiyo kauli ya Vee : “Video ya wimbo wa Never Ever umenigharimu dolla elfu 20, na malengo bado hata sijafikia ukurasa wa pili wa kitabu ninachoandika na...
matumaini ya kuvuka mipaka mingi zaidi” 
Video ya Never Ever imerekodiwa Afrika kusini na muongozaji Justin campos.

0 comments:

Post a Comment