Pages

Subscribe:

Saturday, October 17, 2015

OMMY DIMPOZ KUJA NA NGOMA HII BAADA YA UCHAGUZI

ommy2
Baada ya ushindi wa Tuzo za Afrimma 2015, Ommy Dimpoz Ali-tease nyimbo mbili tofauti Instagram akiashiria kuwa anakaribia kupakua ngoma mpya, ktk post hizo Ommy aliandika: Vp? Mpo tayari baada ya uchaguzi tuachie Mabody na nyingine...
I Can't wait @Nahreel on the beat 

Lakini kionjo ulicho kiskia inawezekana kisiwe ni cha wimbo utakao toka maana yupo njia panda kuamua ni wimbo gani utangulie kutoka, Staa huyo wa Wanjela amesema mpaka sasa tayari amesha fanya video mbili moja akiwa ameshoot Marekani na nyingine Afrika Kusini na hajui atangulie kuachia ipi. Ila majibu yatapatikana baada ya Uchaguzi, ambapo amepanga kuwa ataachia video na audio ambayo anaamini itakuwa hit.

0 comments:

Post a Comment