
Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.” See pics...

Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba afafanue zaidi na yeye kueleza: Daah leo tu ndo kaamka hivyo mke wangu.”





Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment