Pages

Subscribe:

Saturday, October 17, 2015

NISHA AJA NA KALI HII... AMVISHA HAMISA MABETO

11351964_1208894179126374_1509629093_n
Mwigizaji wa filamu Salma Jabu a.k.a Nisha amesema licha ya kufanya vizuri kwenye tasnia ya filamu sasa anafungua kampuni yake ya mavazi itakayo wavisha mastaa mbali mbali, Nisha amedai kuwa tayari ameshaanza kuwavisha wanamitindo kama...
Hamisa Mabeto ilikuoneshauwezo wake.

''Mitindo ni kitu ambacho nakipenda sana na ni ndoto yangu ya kwanza kabla sijawa mwigizaji, Kwa hiyo nimeamua niwaoneshe watu kuwa naweza pia kazi hii, Nimewavisha wanamitindo kama hamisa mabeto lakini lengo languni kuja kuwa na kitu kama kampuni ambacho kitakuwa kinahusu ubunifu kwa kuwatayari nina vitu vya asili  ili kutangaza vya kwetu.

Sasaivi nimejikita kwenye mitindo, Nguo za kike, Nywele na Urembo". Alisema Nisha

0 comments:

Post a Comment