Pages

Subscribe:

Tuesday, January 27, 2015

AMBER ROSE KUMFUATA D'BANJ NCHINI NIGERIA

Mwana dada Amber Rose ambae kila kukicha anazidi ku make headlines kwenye vyombo vya habari imetoke habari mpya tena ambayo inamuhusu yeye na koko master a.k.a D'banj wa nchini Nigeria. Katika social media na blogs za Nigeria zime post habari inayo muhusu mwana dada huyo ambae anataraji kuingia Lagos nchini Nigeria maalum kwaajili ya msanii koko master a.k.a D'banj.Ni nini kinacho mpeleka huko endelea kusoma hapa...
Mwana dada huyo ame confirm kutua lagos nchini Nigeria pamoja na Black China mara baada ya kufikiana makubaliano ya kibiashara na mwana muziki D'banj kwaajili ya ku-host kwenye show yake.Kwenye hiyo show ata ambatana na mwana dada mwingine Black China ambae ni X girl friend wa Tyga.
 
Show hiyo inatarajiwa kufanywa Jumamosi hii tarehe 31/01/2015 mjini lagos ambapo Amber rose ata simama kama host wa show hiyo.

0 comments:

Post a Comment