Pages

Subscribe:

Friday, January 23, 2015

KARRUECHE KUONEKANA KWENYE VIDEO MPYA YA CHRIS BROWN

Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misuko suko katika mahusiano yao Chris amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen. . Video inaitwa Autumn Leaves akiwa... ameshirikishwa Kendrick lamar.Video imeachiwa jana tarehe 22 january 2015 Rasmi imeaachiwa jana katika tv stations.

0 comments:

Post a Comment