Pages

Subscribe:

Tuesday, January 20, 2015

UJUMBE WA WOLPER WAWAACHA WATU NJIA PANDA

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali mtandaoni zenye maneno mazito ambayo yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za... kawaida tu na hakuna kinachomsibu. Mrembo huyu alianza na hizi jana; *“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy rising”*.  *“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down..

0 comments:

Post a Comment