Pages

Subscribe:

Saturday, January 24, 2015

MBALI NA MUZIKI BASI HII NDIYO SHUGHULI ANYINGINE ANAYO IFANYA MSANII SARMY CLEVER


Asilimia kubwa ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva bado wanaishi majumbani kwao na wazazi wao na pia wengi wao hawajishughulishi na shughuli zingine zozote zaidi ya muziki na hili ndiyo limekuwa tatizo kubwa kwa wasanii wetu kuwa na maisha duni na kuto kukua kiuchumi na kujikita ktk uuzaji wa madawa, Ni wasanii wacheche ambao wanafanya muziki na huku wanaendesha miradi yao na wengine wameajiriwa ktk vitengo na makampuni tofauti. Hii imekuwa tofauti kidogo kwa msanii huyu hit-maker wa ngoma ya Tausi, Yeye ni...
Upcoming artist kutoka jijini mbeya yeye anafanya muziki lakini siyo kwamba anategemea au anaishi kwa kazi hiyo bali ni mfanyakazi ktk kampuni fulani na yupo ktk kitengo kizuri kinacho mfanya aweze kumudu kila anacho kitaka, Hivyo basi hata mambo yake yakienda kombo kimuziki bado ataweza kuendesha maisha yake kutokana na kazi yake. Huyu jamaa anastahili kuwa mfano wa kuigwa... Hongera sana Sarmy Clever.

0 comments:

Post a Comment