Pages

Subscribe:

Saturday, January 24, 2015

MAISHA YA MASOGANGE NI AIBU TUPU HUKO AFRIKA KUSINI

Miezi michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo. Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimedai kuwa, Masogange yupoyupo tu, kazi kujipiga picha za utupu na... kuzitupia mtandaoni kana kwamba anatafuta wanaume. “Kimsingi hana kazi huku Sauz zaidi ya kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram na anachanganya sana wanaume wenye pesa zao, si unajua tena mtoto kajaliwa shepu la maana. “Ukitaka kuthibitisha hilo ninalokwambia, ingia katika akaunti yake ya instagram.

0 comments:

Post a Comment