Pages

Subscribe:

Saturday, January 31, 2015

BIFU LA DIAMOND, DAVIDO NA WIZ KID LIMEISHA

Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Africa na kimataifa kwa ujumla hatimae bifu lao limeisha. Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya Diamond platnumz na Wiz kid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya ya Davido aliyo mshirikisha Uhuru na Dj bucks. Diamond nae ali-post katika account yake kwa kuaonesha... kum-ssuport Davido kwa nyimbo yake mpya. Hiyo ina thibitisha kuwa bifu baina yao wote limeisha.

0 comments:

Post a Comment