Pages

Subscribe:

Sunday, January 25, 2015

DIAMOND AMWAGA PESA KWA MASHABIKI

Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama... matumizi mabaya ya pesa kwa kuwaig a wanamuziki wa Marekani, Pia wengine wamechukulia kitendo hicho kuwa alikifanya ili kuzima watu midomo asizomewe.

0 comments:

Post a Comment