Pages

Subscribe:

Saturday, January 31, 2015

MAZISHI YA BABA MZAZI WA P-SQUARE KUFANYIKA LEO

Wasanii waakubwa ambao ni mapachaPeter na Paul maarufu kama P-square kutoka Nigeria wanataraji kumzika baba yao mzazi Pa Mosses Okoye leo aliefariki november mwaka jana. Mazishi hayo ambayo yatafanyika ki mila pia yameweza ku-make headlines kutokana na kucheleweshwa kuzikwa... kwa baba yao huyo. Mazishi yatafanyika nyumbani kwao Lfite duru Anambra state huko huko nchini Nigeria

0 comments:

Post a Comment