Pages

Subscribe:

Wednesday, January 21, 2015

MABESTE KUJA NA NGOMA MPYA "USIWE BUBU"

Baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu hasa mwaka jana , Budaa Mabeste, kesho anaachia mkono mpya uitwao 'Usiwe Bubu'. Endelea kutega sikio lako mjengoni au pitia pitia www.smashkilimanjaro.blogspot.com kuanzia kesho itakuwa hewani.

0 comments:

Post a Comment