Pages

Subscribe:

Thursday, January 29, 2015

NUHU MZIWANDA: SHILOLE NIMEKUPA RUKSA, NIPIGE MPAKA NIKOME!!

Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda  ameibuka na kuandika bandiko hili mtandaoni.
“Mwanaume lijali aliekamilika... ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake. naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekupa ruksa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana ….zimaTaa sie tayari”Mziwanda aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu

0 comments:

Post a Comment