Pages

Subscribe:

Tuesday, January 20, 2015

DIAMOND AGEUZA MASHAIRI YA NYIMBO YA MR. BLUE NA KUMWIMBIA ZARI

Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi na Zari wanazidi ku make headlines kwa ku share mapenzi yao katika mitandao ya kijamii kwa matukio tofauti tofauti tofauti.. Jana katika page ya instagram msanii Diamond ali post video akiwa amevaa taulo ali post video aliyokua akiimba... nyimbo ya Mr blue - pesa lakini ali badili baadhi ya mashairi na kubadili kwa kumtaja mpenzi wake Zari.

0 comments:

Post a Comment