Pages

Subscribe:

Thursday, January 22, 2015

MARTIN KADINDA AKANUSHA STORY YA WEMA KUMPELEKA DIAMOND POLISI


Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania. Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba...
habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.

0 comments:

Post a Comment