Pages

Subscribe:

Tuesday, January 27, 2015

RAISI MPYA WA ZAMBIA AVALISHWA NA MWANA MITINDO KUTOKA TANZANIA

Mbunifu wa mavazi mbali mbali wa hapa Tanzania,Sheria Ngowi amepata nafasi ya kujitangaza zaidi katika soko la mavazi nje ya nchi mara baada ya kula shavu la kumbunia Nguo aina ya suti Raisi mpya wa Zambia. Raisi Edger Lungu ambae ndie raisi mpya wa sasa wa Zambia,suti hiyo aliivaa wakati wa... sherehe za kuapishwa kwake nchini humo. Mbunifu huyo wa mavazi Sheria Ngowi alikuwepo kwenye sherehe hizo za kuapishwa kwa Raisi huyo kwaajili ya kumuangalia mteja wake huyo.

0 comments:

Post a Comment