Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

DIAMOND NA DAVIDO NGOMA DROO TUZO ZA MTV

Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido Wameibuka Videdea Baada ya Wote Kushinda Tuzo Moja Moja Katika Categories Tofauti. Mashabiki wengi Africa Macho yalikuwa kwa hawa watu wawili kuona yupi atachukua tuzo nyingi zaidi..lakini wote wamepata tuzo... moja moja Diamond Amepata ya Mtumbuizaji Bora Africa Wakati Davido Amepata ya Mwimbaji Bora wa Kiume Africa.

0 comments:

Post a Comment