Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

MAPENZI YA SHILOLE NA NUHU MZIWANDA YAFIKA TAMATI

Upande wa Pili huko kwa Kina Shilole na Nuhu Mzwanda Mambo si Shwari Jana Usiku wakati wengine tuko busy na Tuzo za MTV ..Mwanana Shilole Alipost Ujumbe Huu Ukiashiria yeye na Nuhu Mziwanda Mapenzi Basi Tena:. Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin... mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi

0 comments:

Post a Comment