Pages

Subscribe:

Wednesday, July 22, 2015

HII NDO SABABU YA SHILOLE NA NUHU KUBWAGANA

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana. “Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza... Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

0 comments:

Post a Comment