Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

MAIARTHA ATANGAZA KUWASHTAKI TEAM WEMA

Mtangazaji maarufu ambaye siku chache zilizopita amejiunga na Azam Tv, Maimartha Jesse amewafikisha wafuasi wa Wema Sepetu wanaojulikana kwa jina la ‘Team (Timu) Wema’ kwa mwanasheria wake kutokana na kuendelea na tabia yao ya kumtukana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. “Nimechoka na ninaapa kwamba nitakula nao sahani moja kwani mpaka sasa... nimeshagundua kuwa kuna mmoja yupo Malaysia na mwingine India huku waliobaki wako hapahapa Dar hivyo mwanasheria wangu anaendelea kulifanyia kazi hilo kwani wanaendelea kunitukana kila kukicha,” amesema Maimartha.

0 comments:

Post a Comment