Pages

Subscribe:

Friday, July 31, 2015

LULU AJIPA SIFA KEDE KEDE ADAI YEYE NI KIWANGO CHA JUU

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katika maswala mazima za kujipodoa ni ya kiwango cha juu. Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu. “Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na... Viwango vyangu (TBS nimeshindikana) Unaweza kuniita Mkali Wa Hizi Kazi pia.Pale Make up Artist wako anapotaka Kukugeuza Mzungu na Nusu…" Akaandika tena "Ubora na Viwango vilivyoshindikana na TBS..Kuna mtu atapanic tu

0 comments:

Post a Comment