Pages

Subscribe:

Thursday, July 16, 2015

YOUNG KILLER AELEZA SABABU YA NYIMBO ZAKE KUTO SIKIKA REDIONI

Msanii aliyefanya vizuri na ngoma kama Dear Gambe na 13 aliyofanya na Fid Q ajulikanae kama Young Killer ametoa sababu za kwanini ngoma zake hazisikiki redioni kwa sasa. Akizungumza katika kipindi cha 255 ya XXL Young Killer amesema "Kikubwa ni kwamba ni kwamba ngoma zangu zote zimefanya vizuri yani kwanza katika ngoma ambazo... zimenipa heshima naweza nikasimama mbele ya watu nikasema ngoma ambayo imenipa heshima ni Dear Gambe na 13 yani ni ngoma ambazo zimenipa heshima sana tena kwa sababu dear gambe imenitoa imenitambulisha na imenipa heshima kubwa, lakini ngoma ambayo imenipa heshima kubwa na ambayo mpaka saiz ilikuwa imenifunga sana nisitoe ngoma kutokana na ngoma zote nikizilinganisha na hii sioni kama zina uwiano, nilitaka nifanye ngoma kali yan iwe kwenye 13 kuendelea, na hata kama 13 itakuwa kali basi iwe chini yake kidogo sana, mara ya mwisho ngoma yangu nimwetoa 13 sijatoa ngoma tena mpaka leo nimekaa kama mwaka hivi, lakini sasa hivi nafkiri nastahili kuachia wimbo na nikiachia wimbo ntaachia mashambulizi kwenye yani ni ngoma baada ya ngoma kwa sababu ngomazote ninazo nz zipo tzyzri

0 comments:

Post a Comment