Pages

Subscribe:

Friday, July 17, 2015

TAZAMA PICHA ZA WEMA SEPETU AKICHUKUA FOMU YA UBUNGE SINGIDA

Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida
Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na team yake alipokuwa mkoani Singida akichukua fomu kwenye ofisi za chama cha mapinduzi (CCM). Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho. See more pics..


Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida 1

Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida 2

0 comments:

Post a Comment