Pages

Subscribe:

Saturday, July 25, 2015

WEMA APIGWA CHINI KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM


Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo. Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi; 1. Aysharose Mattembe (311) 2. Martha Mlata(235) 3. Diana Chilolo(182) 4. Wema Sepetu(90)

0 comments:

Post a Comment