Pages

Subscribe:

Wednesday, July 29, 2015

MRISHO MPOTO AWASILI RUVUMA KUTOA MISAADA

Msanii Mrisho mpoto leo ametembelea Baadhi ya shule zilizopo Mkoani Ruvuma katika Wilaya ya Namtumbo kiijiji alipozaliwa Hii ni kwa msukumo na msaada kutoka PSPF katika jicho lingine la kuitazama Elimu ikiwa kama chanzo na mwanzo mzuri kwa kizazi kijacho Misaada hiyo iliyotolewa na... Mrisho Mpoto akiwa kama balozi wa PSPF ni pamoja na vifaa vya shule na vitendea kazi kwa wanafunzi hao a shule za msingi.

0 comments:

Post a Comment