Pages

Subscribe:

Friday, July 17, 2015

NAY WA MITEGO: NATUMIA DAMU KWENYE VIDEO KAMA ALAMA YA KUNITAMBULISHA

Staa anayefanya vizuri na video ya Sina Muda(Ney wwa mitego) amekuwa akizua maswali mengi kwa mashabiki wake kwa kutumia damu katika video zake nyingi huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Ney wa Mitego ni mwanachama wa Free Mason. Akizungumza katika kipindi cha Clouds E, Ney wa Mitego amesema amekuwa akipokea...
comments nyingi kuhusu video zake kufanana kwa sababu zote ametumia damu, Kwa mujibu wa Ney wa Mitego amesema kuwa anatumia damu kama alama ya kumtambulisha.

0 comments:

Post a Comment