Pages

Subscribe:

Wednesday, July 22, 2015

NAY WA MITEGO AMVISHA SHAMSA FORD PETE


Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete. “Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo. Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea...
kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka. 
Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete… Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si kumvalisha. Amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa tayari kuweka wazi

0 comments:

Post a Comment