Pages

Subscribe:

Tuesday, July 28, 2015

SHAMSA FORD AKANUSHA KUHONGWA SIMU NA MABWANA

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu. Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na hajawahi... kununua simu za ‘maana’, alizungumza na mwanahabari wetu na kufafanua: “Kiukweli simu nyingi za kisasa nimekuwa nikipewa na ndugu, jamaa na marafiki na si kuhongwa na mabwana kama wengi walivyomsema ” alisema Shamsa.

0 comments:

Post a Comment