Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

VIDEO: DIAMOND AKIWAJIBU WAANDISHI KWENYE PRESS YA MTV 2015

Kwenye Press conference hapa Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali wanaohusika kwenye tuzo hizi akiwemo Diamond Platnumz, Neyo, P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.  

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment