Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

TAZAMA VIDEO YA DIAMOND AKIONGELEA BIGU LAKE NA DAVIDO PIA KUHUSU KUPATA MTOTO WIKI IJAYO

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment