Pages

Subscribe:

Sunday, July 26, 2015

DIAMOND AZIDI KUONESHA UBORA WAKE BAADA YA KUTWAA TUZO NYINGINE KUBWA SIKU YA JANA


Ni wiki moja tu imepita baada ya Msanii Diamond Platnumz kushinda tuzo ya Mtv na kufanya awe msanii wa kwanza nchini Tanzania kutwaa tuzo hiyo, lakini bado anaendelea kufanya vizuri nje ya Tanzania hii imeonekana siku ya jana baada ya kutwaa tuzo nyingine ya #‎AfricanAchieversAwards2015 ambapo Diamond ameweza kutwaa ktk kitengo cha Msanii bora wa Africa. Baada ya kushinda tuzo hii amepost picha hiyo hapo juu ktk ukurasa wake wa Facebook na kuandika...

 thanks God for keep Blessing my Hustle....AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR ‪#‎AfricanAchieversAwards2015‬ (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My beautiful Baby @zarithebosslady , Media zote, na Mashabiki zangu pendwa kwa kuendelea Kunisuport bega kwa bega.... Pia Nimpongeze Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa Kushinda katika Tunzo hizi za #AfricanAchieversAwards2015 leo kama Kiongozi Bora wa Africa.... ‪#‎MsaniiBoraWaAfrica‬ ‪#‎KiongoziBoraWaAfrica‬

0 comments:

Post a Comment