Pages

Subscribe:

Thursday, July 30, 2015

DIAMOND KUMRUDISHA HAWA KWENYE MUZIKI


Haya sasa hawa ndo vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa kusema upo teari kufanya nae kazi wale walokuwa wanasema...
we sio mzalendo now sijui wataficha wapi sura zao! Hubagui huchagui yeyote aje a record bure miaka 6 tu lakini umefanya makubwa kuliko wenye miaka 30 katika game.

0 comments:

Post a Comment