Pages

Subscribe:

Friday, July 24, 2015

SHILOLE NA NUHU ILIKUWA KIKI YA KUTANGAZA WIMBO WAO MPYA

Shilole na Nuh Mziwanda wameachiaSingle yao inayojulikana kama ‘Ganda la Ndizi’ kabla ya kutoa wimbo huo walionekana kama kutofautiana kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram huku kila mmoja akiweka ujumbe wa kumkashifu mwenzake. Hekaheka ya leo imefanya mahojiano na wawili hao na kuamua kuzungumzia utata wao ambao ulizua gumzo kwenye mtandao wa Instagram. Shilole amesema... hawakuwa wamegombana lakini wanashukuru kwa support ya mashabiki wao katika kukuza muziki wao. Shilole anasema waliamua kufanya hivyo kama sehemu ya kuutangaza wimbo waohuo mpya unaoitwa ganda la ndizi.

0 comments:

Post a Comment