Pages

Subscribe:

Sunday, July 19, 2015

DIAMOND NA VANESSA KUWANIA TUZO NYINGINE NCHINI MAREKANI

Diamond ametajwa kuwania vipengele viwili cha kwanza kikiwa ni Hottest Male Single of the Year ambapo wimbo wake ‘Ntampata Wapi’ unashindana na Aye wa Davido, Original wa Fally Ipupa, Get Low wa Dellon Francis na Lobi wa R2bees. Tuzo nyingi anayowania ni ya... Best Male Artist of the Year anayoshindana na Fally Ipupa, Eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie. Vanessa anawania tuzo ya Best Female Artists of the Year akishindana na Victoria Kimani, Yemi Alade na Bucie. Mwisho wa kupiga kura ni August 30 na tuzo zitatolewa October 31.

0 comments:

Post a Comment