Pages

Subscribe:

Thursday, August 13, 2015

WEMA SEPETU NA STEVE NYERERE WAINGIA IKULU

Picha: Wema Sepetu na Steve Nyerere Wakiwa Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wabongo movies, Wema Sepetu na Steve Nyerere zilizo trend siku ya Jana kwenye mtandao wa instagram wakiwa na Rais Kitwete Ikulu ndogo, Dodoma.
“Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President”-Wema aliandika hayo kwenye moja ya...
picha hizo.
Kwa maneno hayo, inawezekana mastaa hawa wakawa wamepata shavu kutoka kwa Rais.

0 comments:

Post a Comment